Bibilia ya Uganda

Karibu kwenye bibilia la Uganda! Toa kwenye tovuti programu hii kupata bibilia yetu ya Kiswahili.

Bibilia la Uganda linapee wakristo wote ambao wana uwezo wa kupata jina Takatifu la Mungu kwenye simu yako. Mara umeiweka kwenye kifaa chako, unaweza tumia bila kuwa umeunganishwa na mtandao.

Soma mistari yake na ukuwe tayari kufungua moyo wako kupokea Kristu. Soma bibilia hii ambayo imeandikwa na ustadi la Kiswahili na familia yako ma marafiki wako kusherehekea kuzaliwa kwa Kristu.

Toa kwenye tovuti programu hii maalum ambayo imeundwa kwa ajili ya waganda.!

Ukristo ni moja wapo ya dhehebu kubwa sana Uganda. Asilimia 84 ya idadi ya watu ni wakristo.

Kanisa la Roma la kikatoliki ndio inawafuasi wengi Zaidi.(asilimia 42 la idadi yote ya watu) ikiwa imefuatwa na kanisa la  Anglican na Pentecostal.

Ukristo umelinganishwa na Maisha ya yesu kristo, mwana wa  mungu na mwokozi ambaye alikuwa ametabiriwa kwenye agano mzee la bibilia.

Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu za uhamasisho wa kiroho ambayo iliandikwa na waandishi tofauti na inajulikana kama neno ambalo lilihamasihwa na Mungu.

Huwa tunasoma bibilia si ju ya sis wenyewe, lakini ju ya ajili ya familia na marafiki. Tunajuwa yakuwa mungu anabadalisha watu na Maisha.

Bibilia Takatifu la waganda liko na vitabu 66 na imegawanyishwa kwa sura na sura hadi mistari.

Agano mzee iko na vitabu 39:  (Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu, Kumbukumbu la Torati, Yoshua, Waamuzi, Ruthu, 1 Samweli, 2 Samweli, 1 Wafalme, 2 Wafalme, 1 Mambo ya Nyakati, 2 Mambo ya Nyakati, Ezra, Nehemia, Esta, Ayubu, Zaburi, Mithali, Mhubiri, Wimbo Ulio Bora, Isaya, Yeremia, Maombolezo, Ezekieli, Danieli, Hosea, Yoeli, Amosi, Obadia, Yona, Mika, Nahumu, Habakuki, Sefania, Hagai, Zekaria, Malaki)

Agano mpya iko na vitabu 27:  (Mathayo, Marko, Luka, Yohana, Matendo ya Mitume, Warumi, 1 Wakorintho, 2 Wakorintho, Wagalatia, Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, 1 Wathesalonike, 1 Wathesalonike, 1 Timotheo, 2 Timotheo, Tito, Filemoni, Waebrania, Yakobo, 1 Petro, 2 Petro, 1 Yohana, 2 Yohana, 3 Yohana, Yuda, Ufunuo Wa Yohana)

https://play.google.com/store/apps/details?id=bibilia.ya.uganda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *